Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Tanzania nchini Oman, Korea, Kampala,Uganda, Kenya, Algeria, Qatar na Sudan. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akizungumza  na Mabalozi wanao kwenda kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali, mazungumzo hayo yalifanyika leo katika Ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam.

  • Mhe. Mahiga alitumia fursa hiyo kuwasisitiza umuhimu wa kutekeleza majukumu yao kikamilifu, sambamba na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.
  • Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Tanzania nchini Oman, Korea, Kampala,Uganda, Kenya, Algeria, Qatar na Sudan